Breaking News

New Music: To Tangle - HADODO



https://mkito.com/song/hadodo/2011/bwi-20-837

Ijumaa hii mnaletewa ngoma nzuri sana kutoka kwa msanii To Tangle a.k.a. Matata Mpina. Ngoma inaitwa HADODO. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale