Breaking News

New Music: Q CHILLA Ft. MB DOG - NIPENDE NIKUPENDE



https://mkito.com/song/nipende-nikupende/2530/bwi-20-832

Baada ya kimya kirefu Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa. Hii hapa ndiyo single yake ya kwanza anaiachia inaitwa NIPENDE NIKUPENDE. Q Chilla mwenyewe alikuwa na haya ya kusema, "Kwa miaka mitano nimekuwa kimya kwenye radio na anga ya muziki ikiwa ni sehemu ya kuyapitia maisha mengine nje ya muziki but thanks to God kupata mkataba mkubwa QS MHONDA ENTERTAINMENT kunirudisha tena kwa nguvu zote kwa watanzania wangu waliomisi mziki mzuri toka kwangu nasubiri muda tu niachie muziki mzuri kama ilivyokuwa mwanzo na zaidi ya mwanzo ni zaidi ya Q Chief wanayemjuwa"   Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.