Breaking News

(Photo’s) DIAMOND Platnumz aongeza TATTOO 3 mwilini mwake.



Msanii nyota kutoka Bongo Diamond Platnumz ameonekana akiwa na tattoo nyingine mbili kwenye mwili wake tofauti na zile alizochora akiwa China. Tattoo hizo kama ukiitizama hii picha ya juu vizuri utaona kuna tattoo iliyoandikwa CHIBU hapo shingoni halafu mkononi hapo iliyoandikwa SANDRA pamoja na mkono wake wa kulia kuna moja imechorwa nembo ya gitaa.





Siku ya tarehe 15 mwezi huu mchora tattoo maarufu hapa Bongo alipost picha hii akiwa na Diamond na kuandika status hii nainukuu

“A late night Tattoo session (4am) with a friend who is our very own Diamond Platinumz. Next session Pizza on me (lol), stay blessed. Shout out Romeo Romy Jones, one love.”

So inaonyesha kabisa kuwa tattoo hizi mbili Diamond alizichora kwa master huyu anayejulikana kwa jina la BOAZ ndiye aliyemchora Diamond.
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.