Breaking News

MAMLAKA YA USTAWISHAJI MJI WA DODOMA(CDA) WAFANYA BOMOA BOMOA MKOANI HUMO


Wapita njia wakiangalia Jengo lililokuwa la vyumba vya biashara lililopo barabara ya saba mkabara na Kitemba hotel lililobomolewa jana saa 11 na Tinga tinga la Mamraka ya ustawishaji mji wa Dodoma(CDA) chini ya ulinzi mkali wa polisi waliokuwa wamefunga njia kwa masaa kadha mara baada ya jengo hilo kukarabatiwa. Picha na John Banda

Huu ndio mwonekano wa jengo ilo kubomolewa na Mamraka ya ustawishaji mji wa Dodoma (CDA) baada ya kukarabatiwa. Sababu zilizopelekea jengo hili kubomolewa ni kujenga jengo lililochini ya kiwango maana wanataka maeneo yote ya mji wa Dodoma kujengwa maghorofa ili kuimarisha mji huo.

Baadhi ya wafanyabiashara wakitoa mali zao kwenye maduka hayo baada ya tinga tinga kumaliza kazi yake. 
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

No comments