Breaking News

(Video) Pata kuona jinsi gani Jokate akielezea furaha yake kushiriki katika msimu wa pili wa Siri ya Mtungi.


 
 
Jokate Mwegelo aka Kidoti ni miongoni mwa waigizaji wapya watakaoonekana kwenye msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi. Pata kuona jinsi gani Jokate akielezea furaha yake kushiriki katika msimu wa pili wa Siri ya Mtungi . Angalia taswira hizi toka nyuma ya kamera katika wiki ya kwanza ya maandalizi ya msimu wa pili wa SYM. Tazama namna tamthilia hii maarufu Tanzania inavyotengenezwa na wahusika wake wakuu.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

No comments