Breaking News

TUKIO LA KUSIKITISHA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliekuwa anasoma nurse amekutwa amefariki katika njia iendayo chuoni hapo, taarifa za awali zinasema kuwa alikuwa anakuja kujisomea chuoni hapo mida ya usiku, inaonekana alikutana na watu wabaya wakati anakuja kujisomea na kumbaka maana nguo zake zilikutwa pembeni ya mwili wake, vilevile mwili wa marehemu huyo ulikuwa umeliwa mnyama inasemekana fisi.


Hapa polisi wakiuchukua mwili wa marehemu huyoHapa polisi wanauweka mwili wa marehemu huyo kwenye gari, endelea kutufatilia kwa taarifa zaidi tutazidi wajulisheni.

No comments